Michele Norris

Michele Norris.
Norris, pamoja na Chuck Holmes, Melissa Bear, Adrian Kinloch, na Walter Ray Watson, wakikubali Tuzo ya Peabody kwasababu ya "The Race Card Project."
Norris, pamoja na Chuck Holmes, Melissa Bear, Adrian Kinloch, na Walter Ray Watson, wakikubali Tuzo ya Peabody kwasababu ya "The Race Card Project."

Michele L. Norris (alizaliwa Minnesota, Septemba 7, 1961) ni mwandishi wa habari wa Marekani ambaye kwa sasa anafanya kazi katika jarida la The Washington Post.[1]

Tangu mwaka 2002 hadi 2011, alikuwa akitangaza kipindi cha jioni katika [[redio]] ya Nationala Public Radio kipindi kinachoitwa All Things Considered.[2]

Norris pia ni mwanachama wa bodi ya wakurugenzi ya Peabody Award [3] wakiwakilisha chuo kikuu cha Georgia.

  1. https://www.washingtonpost.com/pr/2019/12/03/michele-norris-joins-post-opinions-contributor-consultant/
  2. "Michele Norris Biography". The HistoryMakers. 2008-05-02. Iliwekwa mnamo 2018-04-25.
  3. "Who We Are". Grady College and University of Georgia. Iliwekwa mnamo Novemba 22, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy